4/17/2019

Bieber Apandishwa Mahakamani Baada ya Kumgonga Mpiga Picha

MWANAMUZIKI maarufu wa Canada, Justin Bieber,  anashtakiwa kwa kumngonga na gari mpigapicha mmoja wakati akitoka kanisani mjini Los Angeles, Marekani,  mwaka 2017. mtandao wa The Blast umeripoti.Mpiga picha huyo, William Wilson,  amesema alikuwa amesimama upande wa waenda kwa miguu  kabla ya ajali hiyo ambayo imemsababishia ulemavu na matatizo ya kisaikolojiaHata hivyo,  mwimbaji huyo alijitetea akiwaambia waandishi waliokuwepo eneo hilo kuwa hakufanya hivyo makusudi bali ni kutokana na matatizo  ya kiafya aliyokuwa nayo siku hiyo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger