Hatimaye Daimond na Babaake Wamalizana Wakutana Uso kwa Uso na Kuombana Msamaha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baba mzazi wa Msanii, Diamond, Abdul Juma amefunguka ishu ya kumuomba msamaha mwanae huyo.

Baba Diamond amesema kuwa yeye ni mtu mzima na msanii huyo ni mwanae hiyo hawezi kumuomba msamaha.

"Mimi ni mtu mzima huyu ni mwanangu siwezi kumuomba msamaha, nataka tu haya yaishe," Baba Diamond ameiambia Wasafi FM.

Kuliwahi kuwa na tetesi kuwa Diamond haelewani kwasababu katika malezi hakulelewa na baba yake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad