Kim Jong-un atinga nchini Urusi kukutana na Rais Vladimir Putin

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewasili katika mji wa bandari wa Vladivostok nchini Urusi kwa mkutano wake wa kwanza kabisa na Rais Vladimir Putin.

Kremlin inasema kuwa viongozi hao watakutana katika mji wa pwani wa Vladivostok siku ya Alhamisi, na watazungumzia masuala ya usalama katika rasi ya Korea "tatizo la nyuklia".

Kim anatafuta washirika wapya baada ya mazungumzo yake na Rais wa Marekani Donald Trump kutibuka, wachambuzi wanasema.

Bw. Trump na Kim walikutana mjini Hanoi mapema mwaka huu kujadili mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini, lakini mkutano huo uliisha bila viongozi hao kukubaliana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad