Naibu Waziri wa Afya Dk Faustine Ndugulile, Athibitisha Kuwepo kwa Homa ya Dengue Nchini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naibu Waziri wa Afya Dk Faustine Ndugulile, athibitisha kuwepo kwa homa ya dengue nchini
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndugulile, amethibitisha kuwepo kwa homa ya dengue nchini ambapo watu 307 wamegundulika kuwa na ugonjwa huo katika mikoa ya Dar es salam na Tanga tangu Januari hadi sasa.

“Tatizo la homa ya dengue tunalo, kwa sasa tumeanza kubaini wagonjwa waliougua Dar es Salaam na Tanga, hatujapata vifo vyovyote .Mpaka sasa tunao wagonjwa takriban 307 Dar es Salaam  na Tanga lakini hakuna aliyeathirika, nashauri watoa huduma kuwapima wagonjwa iwapo watabainika wanaumwa wapewe tiba stahiki,” amesema Dk Ndugulile na kuongeza:

“Asilimia zaidi ya 70 ya homa tulizonazo si malaria, kuna UTI, homa ya matumbo haya yote yanasababishwa na virusi na dengue ni moja ya inayosababishwa na virusi, hatuwezi kukataa kwamba haupo upo ndani ya Tanzania tunachokifanya sasa ni kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji na kuwa na takwimu sahihi kwenye hospitali za umma na binafsi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad