4/15/2019

VIDEO: Kilichowekwa mezani na CAG sio ukweli - Spika NdugaiSpika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Job Ndugai, amesema kuwa kilichowasilishwa na CAG Bungeni sio ukweli halisi kwani kwa mjibu wa ripoti yake Bunge ndio chombo kinachotakiwa kufuatilia kwa undani na kufanya uchunguzi makini kwa kuwaita watuhumiwa ambao taarifa zao zimeonyeshwa na ripoti ya CAG kuwa wanamapungufu kadhaa alafu tuhitimishe kwa kauli moja kuwa kweli hao wote wanaotuhumiwa na Ripoti ya CAG wanamakosa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger