Jussie Smollet Ajipalia kaa la Moto FOX

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwigizaji wa tamthilia ya Empire Jussie Smollet anaetambulika kama Jamal katika tamthilia hiyo amejipalia kaa la moto baada ya kutuma barua kwenye kampuni ya FOX ya ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa mapenzi ya jinsia moja  kwa kampuni ya FOX studio anayofanya nayo kazi siku moja kabla ya shambulio

Jussie alijisalimisha mikononi mwa Polisi siku ya Feb 21,2019  ili kusikiliza mashtaka yake ya kuwadanganya Polisi kuhusu kutekwa Chicago.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mwigizaji huyo ana nafasi ndogo ya kushiriki katika msimu mpya wa tamthiliya ya Empire ambayo inatajwa kuonyeshwa mwaka 2020 baada ya FOX kutangaza rasmi msimu ujao wa Empire.

Mtandao wa televisheni ya FOX umetangaza kuwa msimu wa sita ndio utakua wa mwisho wa tamthiliya hiyo ya Empire na inapanga kufanya onyesho kubwa la televisheni

Aidha  mtendaji mkuu wa mtandao huo Charlie Collier alisema kuwa kuhusu Jussie Smollet hawana mpango wa kumjibu chochote ikiwa baadhi ya sehemu zake ndani ya tamthiliya hiyo  zimeonekana kumalizika.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad