Makonda Atangaza Vita kwa Wasio na Vitambulisho Dar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Makonda Atangaza Vita kwa Wasio na Vitambulisho Dar
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuanzia June 3, mwaka 2019 ni marufuku kwa wafanyabiashara wadogo ‘machinga’ wote wasio na vitambulisho kufanya biashara katika maeneo yote jijini Dar.

Ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Mei 29, 2019 katika mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu mwitikio wa wafanyabiashara kuchukua vitambulisho hivyo vilivyotolewa na Rais John Magufuli kwa wakuu wote wa Mikoa nchini.


Makonda amesema Jiji hilo lilipatiwa vitambulisho 175,000 lakini wapo ambao hawajachukua hadi sasa. Amesema kuwa atafanya msako mkali kuwatafuta wamachinga wote wasio na vitambulisho hivyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad