5/18/2019

Tumegundua Wakurugenzi 84 Ambao ni Wasimamizi wa Uchaguzi ni Makada wa CCM - Bob Wangwe


Mkurugenzi wa Jukwaa la Katiba nchini, Bob Chacha Wangwe amesema kuwa sababu iliyopelekea kufungua kesi dhidi ya Serikali ni kile kinachodaiwa kuvunjwa kwa katiba kwenye baadhi ya vipengele vinavyowahusisha Wakurugenzi kusimamia uchaguzi kutokana na utafiti walioufanya na kugundua kuwa kuna Wanakurugenzi 84 ambao wanasimamia Uchaguzi Mkuu ni makada wa Chama cha Mapinduzi CCM.
TAZAMA ALICHOFANYA ROSA REE BAADA YA KUFUNGULIWA NA BASATA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger