Loading...

5/13/2019

VIDEO: Kilichowapa Ubingwa wa Man City mechi ya Mwisho, Mchambuzi Abbas Pira AfungukaMchambuzi mahiri Abbas Pira ameichambua kiufundi mechi ya mwisho ya Manchester City kwa msimu huu katika ligi kuu ya Uingereza ambao walikuwa ugenini dhidi ya Brighton and Hove Albion. Katika mchezo huo Man City wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 na kufanikiwa kushinda taji la ligi kuu kwa msimu wa pili mfululizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Loading...
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger