Breaking News: Baada ya Kukaa Segerea kwa Siku Saba Wema Apata Dhamana Mahakama Yampa Onyo Kali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Jumatatu, Juni 24, 2019 imemwachia kwa dhamana Malkia wa Filamu Bongo, Wema Sepetu baada ya kukaa mahabusu ya Segerea kwa siku saba tangu Jumatatu iliyopita, Juni 17 kwa kukiuka masharti ya dhamana yake.

Aidha, mahakama hiyo imemuonya Wema kwa kitendo chake cha kukiuka masharti ya dhamana na kumtaka kutorudia tena huku kesi yake ikitajwankusikikizwa tena Julai 4, 2019.

Wema alionekana kuficha uso wake mara nyingi alipokuwa mahakamani hapo na baada ya kuachiwa kwa dhamana, aliwakwepa mapaparazi kwa kukimbia huku akipitia mlango wa nyuma wa mahakama hiyo ili asipigwe picha na wanahabari.

Wema anakabiliwa na mashtaka ya kujipiga picha za ngono na mpenzi wake kisha kuzisambaza kupitia mitandao ya kijamii
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad