VIDEO: Mbunge AFICHUA Ujumbe Mzito Alioachiwa na Dr Mengi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ikiwa ni mwezi mmoja tu tangu Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na Reginald Mengi  ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa makampuni ya habari ya vyombo vya habari ya IPP afariki dunia,Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Manyara Ester Mahawe amefichua alichoelezwa na Mengi walipokutana kabla ya kifo chake.

Akizungumza kwenye Kongamano la wajasiriamali wanawake na Vijana mjini Katesh-Hanang mkoani Manyara,Mahawe alisema alipokutana na Mengi alimwambia nataka kuwa kama wewe lakini Mengi akamwambia usitamani kuwa kama mimi bali tamani kuwa zaidi ya mimi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad