Diamond Adai Zari Bado Anaumia Kuachana Nae, Amsifia Hamisa Mobetto na Kudai ni Muelewa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Diamond katika mkutano wa kuzindua tamasha la Wasafi, aliulizwa swali kuhusu ukaribu wake na watoto wake na kujibu kuwa kwa huyu wa Dar ambae amezaa na Hamisa Mobeto hakuna shida

'Hamisa ni Mwelewa sana linapokuja swala la Mtoto na amemove on na maisha yake, ila yule wa South sio mwelewa bado haamini kama tumeachana naniblock mpaka kwenye account za intagram za watoto"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad