Jack Wolper "Watu Wenye hela zao Wananitaka ila nia yao Kunichezea tu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wolper anayesifika kuwa mchapakazi amefunguka kwamba angeamua kuwa Boss Lady kwa njia za panya kama wengine ilikuwa simple tu kwani mapedeshee wengi wenye pesa zao wamemshobokea sana lakini aliamua kuwapuuza baada ya kujua kuwa nia yao si nzuri  kwake wanataka kumtumia kwa manufaa yao binafsi

Akizungumza na Ijumaa amesema kwa muda mrefu ameamua kutafuta pesa zake mwenyewe kwa njia halali kwa kujibidiisha kikazi  

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad