Kwenda Marekani sasa utatumia akaunti yako ya mitandao ya kijamii kuomba Visa,

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Utaratibu mpya uliopendekezwa mwaka 2018 wa kila mtu anayeomba Visa ya kuingia Marekani wa kutumia akaunti ya mitandao ya kijamii, unatarajiwa kuathiri takribani watu milioni 15 ikiwemo watu wanaoomba kuingia nchini humo wenye matumaini ya kusoma, kufanya biashara, kazi au kuja tu kutembea.



Kwasasa kila mtu anayeomba Visa ya kuingia Marekani atatakiwa kutoa akaunti zao za mitandao ya kijamii, Pamoja na taarifa zingine binafsi kama sehemu ya utaratibu mkali wa utawala wa Trump wa kuhakiki wahamiaji na wageni wote wanajulikana historia zao.

Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imeeleza kuwa, Imefanya mabadiliko hayo kwenye fomu za kuomba visa kwa wahamiaji na wasio wahamiaji zikimtaka muombaji kutoa taarifa za miaka mitano iliyopita za shughuli zao kwenye mtandao wa kijamii, nambari ya simu, barua pepe, safari za kimataifa na ikiwa amefukuzwa kutoka nchi husika.

Pia wataulizwa iwapo mwanafamilia yeyote ameshawahi kuhusika katika matukio ya kigaidi au kujihusisha kwa namna yoyote ile na mambo hayo.

Kwa mujibu wa mtandao wa VOA, Umeeleza kuwa taarifa binafsi juu ya kazi ya muhusika zilikuwa zikitakiwa kwa waombaji wa Visa ambao wanaweka kitisho cha usalama wa taifa hilo. Imekadiriwa waombaji takribani 65,000 kwa mwaka wanashindwa kwenye kipengele hicho
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad