Makonda Atimiza Ahadi Yake Awakabidhi Yanga Uwanja Kigamboni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametekeleza ahadi aliyoitoa Juni 15, 2019 kwenye harambee ya kuichangia Yanga (Kubwa Kuliko) ambayo aliahidi kutoa eneo Kigamboni kwa ajili ya klabu hiyo.



Leo Juni 21, 2019 Makonda amekabidhi hati ya eneo aliloahidi kwa Yanga. Pia amekabidhi eneo kwa TFF ambalo aliahidi jana kwenye harambee ya kuichangia timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa ajili ya kujenga kituo cha michezo.



"Uwanja niliowapa Yanga thamani yake ni Tsh. Mil. 700 na kiwanja nilichowapa TFF thamani yake ni Tsh Bil. 1.5 jumla ni Bil 2.2," amesema RC Makonda.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad