Safari ya Samatta England Imewadia, Hizi ni Club 5 za EPL Zinamuhitaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anayeichezea club ya KRC Genk ya Unelgiji, inawezekana ndoto yake ya kucheza Ligi Kuu ya England ikatimia baada ya kuwindwa na timu mbalimbali.

Samatta mwenye umri wa miaka 26 kwa mujibu wa mtandao wa The Sun wa England umeripoti kuwa anawindwa na club tano za EPL na dau la kumng’oa Genk linatajwa kufikia pound milioni 12 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 34.9.


Club ambazo zimeripotiwa kumuhitaji Samatta ni zinazoshiriki EPL ni Watford, Leicester City, Burnley, Aston Villa waliopanda daraja na Brighton wanaopewa nafasi kubwa kumnasa
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad