Tahadhari: Ubalozi wa Marekani Waonya Uwezekano wa Kutokea Shambulio Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ubalozi wa Marekani umeonya kuwa kuna tetesi za kutokea shambulio katika maeneo ya Masaki jijini Dar hususani katika migahawa, hoteli na Slipway Shopping Center ya Msasani

Katika tangazo lake lililotolewa leo Juni 19, 2019 imesema haina ushahidi wa kutosha juu ya taarifa hizo au muda shambulio litakapotokea ila inawataka Wananchi kuchukua tahadhari

Watu wanashauriwa kuwa makini na mazingira, kuepuka mikusanyiko, kufuatilia vyombo vya habari ili kupata mwendelezo wa habari na kuwa waangalifu katika maeneo yanayotembelewa sana na Watalii

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mm kwauwelewa wangu mdogo maswal yang ni mawili tu:-
    1) wao wamejuaje hiyo taarifa?
    2) kwann baada ya kupata taarifa na data muhimu wasi wataarifu vyombo husika??/kwann wanatoa tarifa kama wao ndo wanajukumu la ulinz wa nchi yetu???

    ReplyDelete

Top Post Ad