Waziri Mkuu wa Algeria Apandishwa Kizimbani kwa Rushwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri Mkuu wa zamani wa Algeria, Ahmed Ouyahia amepandishwa kizimbani katika mahakama ya mjini Algiers, akikabiliwa na kesi juu ya wizi wa fedha unaohusisha ushirikiano na kampuni maarufu ya kutengeneza na kuuza magari ya Volkswagen kutoka Ujerumani.



Imeripotiwa kuwa Ouyahia alikamatwa Jumatano iliyopita, kutokana na amri ya majaji wa mahakama kuu ya nchi hiyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad