7/06/2019

Basata Yalaani Kusambaa kwa Video na Picha za Faragha za Amber Rutty

BASATA imesema haimtambui Amber Rutty kama msanii na hajasajiliwa kufanya shughuli za sanaa kama msanii binafsi au katika kikundi. Aidha, baraza hilo linalaani kufuatia kusambaa kwa picha zake za faragha, jambo ambalo ni kinyume na maadili.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger