Kagame Cup: Azam FC Uso kwa Uso na Manyema Union

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kagame Cup: Azam FC uso kwa uso na Manyema Union
Mabingwa watetezi wa kombe la klabu bingwa Afrika mashariki na kati (Kombe la Kagame) Azam FC leo itatimuliana vumbi na Manyema Union ya DR Congo katika mchezo wa nusu fainali ya michuano hiyo mjini Kigali Rwanda.

Hii ni baada ya Manyema kuwatoa wenyeji APR ya Rwanda katika mchezo wa robo fainali kwa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0.

Green Eagles ya Zambia baada ya kuitoa Gor Mahia ya Kenya, itaumana na KCCA ya Uganda kwenye mchezo mwingine wa nusu fainali hiyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad