Mapenzi ya Cardi B kwa offset ni moto achora Tattoo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ikiwa ni miezi kadhaa imepita tokea Cardi B na Offset kutangaza kurudiana baada ya wawili hao kutengana mwishoni mwa mwaka jana 2018, sasa Cardi B azidi kuonyesha mapenzi kwa mume wake hii ni baada ya kuchora tattoo lenye jina la ‘Offset’ nyuma ya paja lake.

Inaelezwa kuwa Offset pia alishawahi kuchora tattoo yenye  jina la Cardi B kwenye shingo yake ikiwemo na majina ya watoto wake wote wanne pamoja na ya watu wake wa karibu anaowapenda na hivyo imezoeleka kwa Offset kufanya hivyo.



Kutokana na comments kutoka kwa mashabiki senti wamehoji kuwa huenda Cardi B amefanya hivyo kurudisha upendo ambao Offset amekuwa akimuonyesha ikiwemo na kuchora jina lake tattoo huku wengine wakidai kuwa ni mapenzi ya dhati yaliomsukuma Cardi B kufanya hivyo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad