Shilole Amchana Diamond Live Kwa Kupendelea Baadhi ya Wasanii Wasafi Festival

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MAMA Ntilie mwenye pesa zake mjini ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Shilole ‘Shishi Baby’,  ameonyesha jeuri ya pesa kwa  waandishi wa habari  kwa kutoa pesa zake alizonazo kwenye pochi yake.

Aidha amemchana Diamond Platnumz, kuhusiana na Tamasha la Wasafi Festival 2019 kwa kumwambia achukue wasanii wote na si wasanii wa Wasafi pekee kwani siku zote anaposema Wasafi Festival ni ya watu wote awe anamaanisha kweli.

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad