Whozu "Penzi letu sio Kiki nishamtambulisha Tunda kwa Wazazi Wangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwimbaji Whozu amezungumza kuhusu mahusiano yake na video vixen Tunda na kuweka wazi kuwa tayari amemtambulisha kwa wazazi wake na watu wasubirie ndoa 

"Penzi letu sio kiki, tunapendana kinyama , nishamtambulisha kwa wazazi wangu, nyie subirieni ndoa tu"


,Whozu pia amegusia ishu za kuachia kolabo alizofanya na wasanii wengine kutokea hapa hapa nyumbani Tanzania
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad