Afrika Kusini yaipongeza SADC kwa kutangaza Kiswahili kuwa lugha rasmi ya nne

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bodi ya lugha ya kusini mwa Afrika (PanSALB) jana imepongeza azimio la Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) la kutangaza kuwa itaitumia Kiswahili kama lugha rasmi ya nne ya mawasiliano.

Mwenyekiti wa bodi hiyo Bw. David Maahlamela amesema, mafanikio hayo muhimu ya kutambuliwa na kuongezwa kwa lugha asilia ya Afrika katika kanda hiyo ni juhudi kubwa kwa kuhakikisha maendeleo, matumizi na taaluma ya lugha za urithi katika eneo hilo.

Maahlamela amesema, kwa hatua hiyo,  kwa sasa Kiswahili ndo kitakuwa  Lugha pekee na ya kwanza ya Asili kutumika ndani ya bara la Afrika kati ya taifa moja la jingine ambayo ni wanachama wa SADC.

Amesema, Afrika ndo bara pekee ambalo watoto huanza kufundishwa shuleni kwa lugha  za kigeni huku waafrika walio wengi wakipotoshwa  kuwa Lugha za Kigeni kama Kingereza, Kifarasa, Kireno ndo Muhimu zaidi kwa taifa  la Kiafrika kupiga hatua yoyote ya maendeleo

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila mzalendo wa Afrika anapongeza sana Kiswahili kutumika SADC sababu ni lugha pekee yenye asili ya Afrika kati ya zile tatu Kiingereza, Kifaransa na Kireno zilizo rasmi hivi sasa. Tunaamini Kiswahili kitachukua nafasi yake baadaye kiwe lugha rasmi Namba 1.
    Mungu Kibariki Kiswahili.
    Mungu Ibariki Afrika.

    ReplyDelete

Top Post Ad