Dudubaya Aokoka, Aaangushiwa Maombi ya Kufa Mtu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dudubaya Aokoka, Aaangushiwa Maombi ya Kufa Mtu

MSANII nguli wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini, maarufu kama Dudubaya ama Konki Master, ameamua kuokoka na kumrudia Mungu, jambo ambalo liimewaacha mdomo wazi watu wengi.
Taarifa za Dudubaya kuokoka zilianza kusambaa kupitia mitandao ya kijamii, huku yeye mwenyewe akipost na kuandika; “MZIGO MZITO NIMEUTUA…….. SINA ADUI TENA…. SINA MSHINDANI TENA… BAADA YA KUSAMEHE YOTE NIMEYASAHAU…… I AM KONKI 3 MASTER”. Baada ya post hiyo pia aliweka video ikimuonyesha akiombewa na Mchungaji Boniface Mwamposya ‘Mpaka Mafuta wa Bwana’.
 
Naye mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba:  “Nikiwa kama baba mlezi wa waimbaji wote wa nyimbo za injili Tanzania nachukua nafasi hii kukupongeza ndugu yangu Konki Master kwa uamuzi wako mzuri wa kumpokea Yesu Kristo.
 
“Hii ni hatua nzuri ya kuigwa na pia kupongezwa maana kwa Yesu ndiyo kuna kila kitu. Kama hauna wivu wa ki pepo naomba ushiriki kumpongeza Monki Master kwa hatua njema hii aliyochukua.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad