KATAVI: Mwili wa Mtoto Wakutwa Makaburini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KATAVI: Mwili wa mtoto wakutwa makaburini
Mwili wa mtoto anayefahamika kwa jina la Kelvin Stephano (12), umeokotwa katika makaburi yaliyopo mtaa wa Nsemulwa kwa Mkumbo, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi ukiwa umekwishaharibika.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi Rashid Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo amesema kutokana na mwili wa marehemu kuharibika vibaya, haikuweza kubainika moja kwa moja  chanzo cha kifo chake.

Kwa upande wake Stephano Robart Makofia, ambaye ni mzazi wa marehemu amesema, alipofika eneo la tukio alimtambua mtoto wake kwa mavazi aliyokuwa amevaa siku aliyotoweka nyumbani.

Wakizungumza na EATV baadhi ya majirani wameitupia lawama familia hiyo, kwa madai walikuwa hawamjali mtoto wao.

Aidha Kamanda wa Polisi ametoa Rai kwa wazazi mkoani Katavi kuwa makini na watoto wao ili kuepuka majanga kama hayo kuwakuta watoto.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad