AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama hiyo, chini ya Hakimu Liliani Rualabamo, baada ya kuridhishwa bila shaka, na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka.
Hakimu Rugalabamo akitoa adhabu katika kesi hiyo, amesema kutokana na sheria kumshika mikono, amemuhukumu kwenda gerezani miaka 30 na atakapomaliza adhabu yake amlipe mlalamikaji fidia ya Sh. milioni 2.
Awali ilidaiwa Mahakama ilielezwa kuwa mshtakiwa kwa kutambua anachokifanya ni kosa, April 14, 2019, maeneo ya mashambani, alimbaka mlalamikaji na kumsababishia maumivu makali sehemu zake za siri.
Aidha mshtakiwa alimshawishi mlalamikaji waende Shambani akamsaidie kuvuna karanga na baada ya kufika huko shamba alianza kumtomasa tomasa, kisha kumbaka huku akimtaka kutomwambia mtu yeyote.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Lakini akimaliza adhabu yake baada ya hiyo miaka 30 je hiyo shillingi million 2 bado thamani yakeyitabakia hivyo hivyo?
ReplyDelete