Liverpool Yabeba Kombe la UEFA Super Cup, Yaichapa Chelsea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Liverpool Yabeba Kombe la UEFA Super Cup, Yaichapa Chelsea
TIMU  ya Liverpool usiku wa kuamkia leo Agosti 15, 2019,  katika Uwanja wa Vodafone mjini Instanbul nchini Uturuki imefunga timu ya Chelsea kwa mikwaju ya penalti baada ya sare ya kufungana magoli 2-2.   Magoli ya Liverpool yalifungwa na Sadio Mane dakika ya 48 na 95 huku ya Chelsea yakifungwa na Oliver Giroud dakika ya 36 na Jorginho kwa mkwaju wa penati dakika ya 101 na Liverpool kuibuka na ushindi wa penati 5-4 na kutwaa ubingwa wa UEFA Super Cup.


Fainali  hiyo hukutanisha Bingwa wa UEFA Europa League ambaye ni Chelsea dhidi ya Bingwa wa UEFA Champions League ambaye ni Liverpool.

Chelsea wakiwa chini ya kocha wao mpya Frank Lampard, wameendelea kuondoka uwanjani vichwa chini baada ya kupoteza mchezo wao wa pili mfululizo, baada ya kufungwa na Man United 4-0.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad