Mastaa Bongo Wachomoza Tuzo za Afrima Nigeria

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




MSIMU wa sita wa tuzo kubwa za muziki Afrika zenye ushirikiano na Umoja wa Mataifa ya Afrika (AU), All Africa Music Awards (AFRIMA 2019), umewadia na majina ya wasanii wanaowania vipengele mbalimbali yametajwa.

Katika tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa Novemba mwaka huu, Tanzania imeendelea kufanya vizuri kwa kutoa wasanii Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Rayvanny, Harmonize, Maua Sama, Queen Darling, Rosa Ree, Nandy na Mbosso.

Akizungumzia tuzo hizo, Mbosso alisema: “Kuingia kwenye tuzo hizi ni jambo kubwa kwa sababu ni tuzo zenye heshima.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad