Mume na Mke wafungwa kwa kumfanyia ukatili mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, Thadei Parokwa (43) na mke wake Lowema Thadei (34) kwa kuwakeketa watoto wao watatu.


Kwa mujibu wa Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Mkaguzi wa Polisi, Hamilton Moses, shitaka lililowakabili mtu na mkewe ni ukatili dhidi ya watoto.

Akitangaza hukumu hiyo Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Lugano Kasebele, amesema kutokana na ushahidi ulitolewa, imewatia hatiani wazazi hao kwenda jela miaka 5 na faini ya laki 6.

“Vitendo hivi vimekithiri hapa wilayani kwetu, Mahakama inatoa adhabu kali kwa wahusika ili iwe fundisho kwa wengine kwani vina madhara makubwa kwa jamii”, amesema hakimu Lugano Kasebele.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad