Sallam SK 'Tumependezwa na Maamuzi ya Harmonize Kuamua Kuvunja Mkataba Kisheria'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kufuatia Sintofahamu Iliyokuwa Imetanda Kuhusu Hatma ya Msanii Harmonize Katika Lebo Yake ya WCB Wasafi, Mmoja Kati ya Mameneja wa Lebo hiyo Sallam sk Ameweka Wazi Ukweli Kuhusu Kinachoendelea!.

Sallam Amesema
 "Harmonize Ndani ya Moyo Wake Hayuko WCB, Lakini Kimakaratasi Yuko WCB, Harmonize Ametuma Barua ya Maombi ya Kuvunja Mkataba wake WCB na Yuko Ridhaa Kupitia Vipengele Vyote vya Sheria ili kuweza Kuvunja Mkataba Wake." .

Sallam Ameendelea Kwa Kusema Kuwa Wamependezwa na Maamuzi hayo ya Harmonize Kutokana na Kwamba yeye Mwenyewe Ameridhia na Kuamua Kufuata Sheria.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Salam, ukiendelea kuwakandamiza Wasanii na ukisaidiwa na Tale tela. Mjitathmini na kuhakikisha kodi zenu ziko vizuri.

    Vanny na Domo wakio doka utabaki na Nani?

    Tale atapiga trump na wewe utacharaza nyuzi.. NI bora muanze mazoezi sasa. Manake Hao wote WAO doka hivi muda Si mrefu muenxelee kuuza karanga na sijui pafi yuum bado zipo.

    ReplyDelete

Top Post Ad