AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MUIGIZAJI nyota ambaye anatokea katika kiwanda cha filamu cha Bongo movi, Tanzanian 'Sweetheart', Wema Sepetu, amesema bado anatamani kuwa na mtoto na hakuwahi kuacha kumtamani.
Amesema shida ya kutopata mtoto ilichangiwa kuwa na matatio katika mfumo wa uzazi kitu kilichopelekea kushindwa kubeba ujauzito.
Wema amesema kwa sasa tatizo hilo limeshatibiwa hivyo chochote kinaweza kuhapeni.
Mshindi huyo wa tuzo ya ulimbwende mwaka 2006, amesema kwa sasa amekuwa, hivyo ameacha kufanya mambo yatakayoichafua heshima yake,huku akidai yupo anapiga dili kwa kuwa balozi kwenye kampuni za ndani na nje ya nchi na anaimani michongo mingi itaendelea kumiminika.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ujumbe umefika kwacHamolapa na HAJI MANARA kazi ni kwao.
ReplyDeleteMWENYE MKWANJA...NGOMA NI YAKE.
ILA HABARI YA KKUSIKITISHA NASIKIA HAMOLAPA KAPATAMZUNGU. JE NI KWELI..??

ILA HABARI YA KKUSIKITISHA NASIKIA HAMOLAPA KAPATA MZUNGU. kama konde boy anavyo dai ni mzuri zaidi ya yule wa konde boy JE NI KWELI..??