Zidane Azidi Kuwapa Wakati Mgumu Wachezaji Hawa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zidane azidi kuwapa wakati mgumu wachezaji hawa
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane ametuma tena ishara kwa wachezaji wake watatu kuwa hawataki kwenye kikosi chake cha kwanza cha timu.

Gareth Bale, James Rodriguez na Mariano Diaz wote wameachwa nje ya kikosi cha Real Madrid ambacho kitacheza na Red Bull Salzburg katika mchezo wa kirafiki hii leo.

Hata hivyo taarifa zinazidi kudokeza kuwa kocha huyu anaendelea na juhudi zake za kupunguza kikosi cha timu ya kwanza.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad