Kocha Simba Awapa Yanga Mbinu 2 Kuimaliza Zesco

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

JAMHURI Kihwelo ‘Julio’, kocha wa zamani wa Simba na Dodoma FC, amesema kuwa bado nafasi ya Yanga kushinda mbele ya Zesco ipo endapo wachezaji watashusha presha waliyonayo na kuacha kupaniki.



Yanga juzi ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Zesco ya Zambia kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika na wanatarajia kurudiana nao Septemba 27.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Julio alisema kuwa kwa sasa wachezaji wa Yanga baada ya kupata sare, hawapaswi kupaniki bali washushe presha ili kuwa katika ubora wao.



“Mpira una matokeo ya kikatili, kupata sare wao siyo wa kwanza na wanaweza kupindua meza kibabe endapo watatulia na kushusha presha ambazo wanazo kwa sasa.

“Makosa madogomadogo ambayo wameyaonyesha ni muda wa kuyafanyia kazi na ninaamini watafanya makubwa na kuushangaza ulimwengu, nafasi bado wanayo,” alisema Julio.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad