AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais John Magufuli amewataka watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi walioagizwa kuwasilisha barua zao za kuomba msamaha katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) waamue wanamsikiliza nani kati ya Mawakili wanaotaka kuwachomoa pesa au DPP.
Ametoa kauli hiyo leo , alipokuwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kusamehe watuhumiwa hao wa uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali.
“Msamaha ukishautoa ni msamaha la sivyo wewe uliyetoa utaibeba hiyo dhambi kwa Mungu, ninafahamu wapo wanaodanganywa na mawakili wao ili waendelee kuwachomoa pesa wanaawambia ukiomba msamaha maana yake unakuwa umeshajishtaki mwenyewe sasa hiyo ni shauri yao waamue wanamsikiliza nani,” amesema Magufuli.
Aidha ameitaka ofisi ya DPP kuharakisha juu ya suala hilo ili watuhumiwa hao waweze kutoka wakajumuike na familia zao kutokana na sababu kuwa waliingia kwa njia ya mahaka hivyo wanapaswa kutoka kwa njia ya mahakama hivyo wawafikishe kwenye vyombo vya sheria ili waweze kuachiwa.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ningeomba, Hii clip ipelekwe Na waione na kuisikia wanao kabiliwa na hizi kesi nchi nzima Leo Leo, Mkuu wettu wa nchi amesema Nini na ana msimamo gani juu ya kuurudisha Furaha kwa Familia naUjenzi wa Maendeleo ya Nchi.
ReplyDeleteMungu Akubariki kipenzi chetu JPJM.
Ningeomba, Hii clip ipelekwe Na waione na kuisikia wanao kabiliwa na hizi kesi nchi nzima Leo Leo, Mkuu wettu wa nchi amesema Nini na ana msimamo gani juu ya kuurudisha Furaha kwa Familia naUjenzi wa Maendeleo ya Nchi.
ReplyDeleteMungu Akubariki kipenzi chetu JPJM.
Ningeomba Magerezani Wa facilitate Runinga, Hii clip ipelekwe Na waione na kuisikia wanao kabiliwa na hizi kesi nchi nzima Leo Leo, Mkuu wettu wa nchi amesema Nini na ana msimamo gani juu ya kuurudisha Furaha kwa Familia naUjenzi wa Maendeleo ya Nchi.
ReplyDeleteMungu Akubariki kipenzi chetu JPJM.