AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;
10.India
9.Uholanzi
8.Japan
7.Switzerland
6.China
5.Urusi
4.France
3.Italy
2.Ujerumani
1.Marekani
Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwa
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Waulizeni waMishonari tunao wapa Ardhi
ReplyDeleteVijijini kutujengea hospitali na shule na Madhabaho.
Namkumbuka Franz Backnbeur sehemu za Chunya na kUsini kwa ujumla wake.
Asingekuwa Baba JPM hata ACACIA Na wenzao wangeendelea kuchota tu.
Jibu tunalo.
Na tulipo kosea tunapajua ni UBINAFSI
NA KUKOSA UZALENDO MOYONI.
Je unajua The Mpwapwa Rhodes..?
ReplyDeleteDuniani na Wiza Ruby..??
Zinaondoka kinyemela kila Siku.
Unajua Zinapatika wapi.