Polepole amuagiza mkurugenzi kuwatengea mamilioni vijana na wanawake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Humphrey Polepole amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Modest Alpolnary, kutenga kiasi cha Shilingi Milioni 200 kwa ajili ya vijana na wanawake.

Polepole amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Geita ya Kijani ulioandaliwa na UVCCM Mkoani humo.

Amesema fedha hizo ni kwa ajili ya kuvisaidia vikundi vya vijana na Wanawake wa chama hicho kuanzisha viwanda.

”Wote wapigwe semina, waambiwe maana ya viwanda hivyo, waambiwe namna ya fursa zilizopo, wapewe ujuzi wa namna ya kuviendesha” amesema Polepole.

Naye Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Geita, Manjale Magambo amemuomba Polepole kufikisha kilio cha vijana ambao, wamekuwa wakifukuzwa kazi na  baadhi ya Migodi ya dhahabu hapa nchini na kisha taarifa zao kusambazwa kwenye migodi yote ili wasiajiliwe popote pale.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad