Huddah Monroe "Sijafanya Mapenzi Kwa Siku 60"

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa


Mrembo kutoka pande za Kenya, Huddah Monroe ameamsha gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kuweka post kuwa Hajashiriki tendo la ndoa kwa muda wa siku 60.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Huddah aliandika hayo huku akisisitiza kuwa ana hamu sana ya kupata kijana mdogo 'Kiserengeti Boy' kwa ajili ya kutimiza haja zake.“I have not had my conjugal rights in two months. Practicing self-control in this sinful world. 18-year-old boys looking like snacks. I want to eat them all” she said.

Kenyans, however, didn’t believe her statements. Given how Huddah has been in the news for sex-related sagas, Kenyans trolled her claiming that there’s no way she could have hit a month.


bellaaluoch They’re only called conjugal rights when you’re married. For single people it’s fornication LOL😂

hilly_billy63 HoeDah thinking 2 months is anything to brag about

damn_meemee what in the pedophilia is going on HEEERREEE

Brian Cassie Ile shimo iko apo.nowander she’s been avoided
4
Vio Wa Kamadi 2months and she’s complaining??? Kwani how often do pipo do this things???? Am counting 6months.. ….mmmmh awouro

_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 2. Enter your comment yaani watu wakizama Kwenye UZINZI wanaona ni jambo la razima na Si la kulikosa kila Siku.
  huyu anabwata kuwa hajafanya mapenzi siku60 yaani miezi 2 anaona hajabu kwake na kuona ni jambo la kustaajabisha watu.
  Watu wanakaa bila kufanya ngono hadi miezi6 na wapo active kiafya wewe unabwata siku60?
  cha hajabu nini?

  ReplyDelete

Top Post Ad