Ukiwa jirani na Mpenzi wako Halafu Ghafla tu Akapigiwa Simu na ukayaona na kuyasikia haya jua aliyempigia ni ' Hawara

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukiona anapigiwa tu Simu ukiwa nae halafa anaonyesha Kushtuka, Kutetemeka huku macho yake yakiwa hayatulii na kuna muda anajichekesha chekesha au anaanzisha Mada zisizo na Miguu wala Kichwa halafu akiwa anaongea na hiyo Simu ukayasikia maneno kama....sikusikii vizuri....wewe nani?.....naaam.....ndiyo....ndiyo....weka Simu yako vizuri napata taabu Kukusikia....hawajambo tu.....sawa....hapa unatakiwa ujue ya kwamba aliyempigia hiyo Simu ni Msaidizi wako ama katika Mbunye na Demu wako au Mkuyenge wa Bwana wako.



Kaeni chonjo!



Nawasilisha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad