Viongozi wa CHADEMA Kilimanjaro wakamatwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Viongozi wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Kilimanjaro akiwemo Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Owenya, wamekamatwa na polisi kwa amri ya Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na kupelekwa kituo cha polisi Bomang’ombe.

Lucy na viongozi wengine, wamekamatwa leo kwa tuhuma za kwenda shule ya Sekondari ya Rundugai wilayani humo na kufanya siasa kinyume cha utaratibu.

Wengine waliokamatwa ni mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai, Helga Mchomvu, Katibu wa Mbunge wa Hai, Irene Lema na Diwani wa Machame kaskazini, Clement Kwayu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad