Ebitoke: Hata kama nimebabuka, kileleni nimechungulia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya kuweka picha akiwa amebabuka uso huku maneno ya kejeli yakiwa mengi, msanii wa vichekesho; Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema hata kama amebabuka lakini kileleni mwa Mlima Kilimanjaro amekaribia kufika ‘amechungulia’.  Akibonga na Za Motomoto ya Risasi, Ebitoke alisema kuwa alipambana vilivyo ili aweze kufika kileleni mwa mlima huo kwa kuwa alibakisha sehemu ndogo sana, lakini Mungu ni Mwema alipofika anastahili pongezi japo alikuwa kwenye hali mbaya kiafya.

“Ukiiangalia sura yangu haitamaniki hata kidogo lakini ukweli ni kwamba nimefurahi sana, hivyohivyo najua sura yangu itarudi kama kawaida baada ya muda mchache ila ukikutana na mimi sasa hivi natisha jamani,” alisema Ebitoke.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad