Harmonize amtaja Chibu na Zari kwenye ngoma yake mpya ‘Uno’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa muda mrefu tangu Harmonize kujiengua katika kundi la WCB hajaweza kudondosha ngoma aliyoifanya peke yake.

Mapema leo Oktoba 24, 2019 Konde boy ameachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la Uno ambapo katika ngoma hiyo kwenye moja ya mstari amemtaja aliyekuwa boss wake Chibu Dangote na aliyewahi kuwa mpenzi wake na kumzalia Chibu watoto wawili, Zaritheboss lady.

Ni ngoma ambayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hasa wa Instagram amekuwa akiwaandaa mashabiki zake kwa hamu zote kusubiri ujio wake kwa kuifanyia promo na kuitambalisha kwa namna mbalimbali.

Hadi sasa ngoma hiyo imekwisha sikilizwa na watu takribani 64,830, sikiliza hapa chini
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad