AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.8 limetokea Papua mashariki mwa Indonesia.
Kituo cha Utafiti wa Jiolojia cha Marekani (USGS), kimetangaza kuwa tetemeko hilo limetokea kilometa 138 kusini magharibi na kufikia kina cha kilomita 10.
Haijulikani bado ikiwa tetemeko la ardhi limesababisha uharibifu wa maisha au mali.
Hakuna onyo la Tsunami lililotolewa.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK