ROSE Muhando Acharuka Kuwaburuza Kortini Wanaomchafua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MWIMBAJI wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando ameibuka na kuapa kuwa anawaburuza mahakamani wale wote wanaotumia jina lake na kumchafua.



Kupitia msemaji wake, Daud Mashimo alisema, Rose anawashtaki wale watumishi wa Mungu wote wanaotumia jina lake kwenye matangazo ya mikutano au matamasha yao wakisema atakuwepo kutoa huduma ya uimbaji na mwisho haonekani kitu ambacho kinamchafulia jina na kuonekana anatapeli.



“Rose atakaa na wakili wake, notice ya siku 14 itatoka Jumanne ijayo na baada ya hapo atawapeleka mahakamani baadhi ya watumishi ambao wamekuwa wakitangaza kuwa anakuwepo kwenye mikutano yao wakati hana taarifa nao na kumchafulia jina,” alisema Mashimo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad