''Sina msanii au kigogo kwenye mahusiano"- Miss TZ

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
Mshindi wa taji la ulimbwende kwa mwaka 2019/2020 hapa nchini Sylvia Sebastian, ametangaza kuwa yupo 'single' na kwamba hajaona msanii wala kigogo yoyote, ambaye atamshawishi kuingia naye katika mahusiano.

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, mlimbwende huyo amesema kuwa suala la mahusiano kwa sasa hajalipa kipaumbele na kwamba analinda kauli mbiu ya Miss Tanzania inayosema 'Urembo ni heshima'.

"Sina kigogo yeyote kwenye mahusiano, pia napenda mziki, lakini  bado sijajua ni msanii gani nampenda sana na kumfikiria kuwa naye kwenye mahusiano, sidhani kama yupo kwa sasa ila mimi namtaka mwanaume yeyote atakayeletwa na Mungu", amesema Sylvia.

Aidha Sylvia amemtaja Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo kuwa ndiye mtu aliyemfanya kupenda masuala ya urembo.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jikite katika Kuboreshha Maisha yako.
    Famiia yako na Jamii inayo kuzunguka.

    Habari ya kigogo na msani kamuulize Dada ya Wema na Woper watakufunza Walio jifunza kiuhalisia wa Maisha.

    kwa ushauri binti yangu JITAMBUE

    ReplyDelete
  2. Jikite katika Kuboreshha Maisha yako.
    Familia yako na Jamii inayo kuzunguka.

    Habari ya kigogo na msani kamuulize Dada ya Wema na Woper watakufunza Walio jifunza kiuhalisia wa Maisha.

    kwa ushauri binti yangu JITAMBUE

    ReplyDelete

Top Post Ad