Babu Akimbilia Mafichoni Baada ya Kutuhumiwa Kumbaka Mjukuu Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, linamtafuta Hamdu Othman Mcha (65) mwenye wajukuu zaidi ya 20 akituhumiwa kwa kosa la kumbaka mjukuu wake, na kisha kutokomea kusikojulikana

Babu huyo baada ya kudaiwa kufanya kosa hilo, ameitelekeza familia yake kwa muda wa wiki mbili sasa baada ya taarifa za ubakaji kuripotiwa kituo cha Polisi Mtambile

Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Hassan Nassir Ali, alisema awali walipokea taarifa kutoka kwa mtoto wa babu huyo akilalamikia babaye kutoonekana lakini uchunguzi umebaini kumbe ameukimbia mkono wa sheria kutokana na tuhuma za ubakaji dhidi ya mjukuu wake   
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad