Hawa Ndio wateule watano wanaoapishwa leo na Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, leo Novemba 23, 2019, anatarajiwa kuwaapisha Mabalozi Wateule watano, shughuli ambayo inafanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Mabalozi hao ni Balozi Maj. Gen Anselm Shigongo Bahati, ambaye anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Misri.

Mwingine ni Balozi Mohamed Abdallah Mtonga anayekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Abu Dhabi (UAE).

Wa tatu ni Balozi Jestas Abuok Nyamanga, anayekwenda kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji.

Na Balozi wa nne ni Ali Jabir Mwadini ambaye atakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Saudi Arabia.

Na mwisho ni Balozi Dkt. Jilly Elibariki Maleko ambaye anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Burundi.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad