Jamaa Aliyebaka na Kumuua Mwanafunzi wa CHUO South Afrika Akiri Kosa na Kuhukumiwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamaa pichani kwa jina la Luyanda Botha(42) ijumaa hii amehukumiwa kifungo cha maisha jela nchini S.Africa Kwa kumbaka na kumuua mdada huyo kwa jina la Uyinene Mrwetyana(19) ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu Cape Town

Jamaa alikuwa ni mfanyakazi wa shirika la posta nchini humo ambapo mrembo huyo alikuwa ameenda kuchukua mzigo wake(kifurushi) ndipo jamaa akatumia nafasi hiyo kufanya unyama huo ambapo alikuwa ameshaandaa mazingira wawepo wawili tu ndani ndani ya chumba

Awali, siku kadhaa kabla ya kwenda kuchukua mzigo wake, jamaa huyo alimtaka kingono mdada huyo Ila mwanafunzi huyo akampotezea bila kumjibu. Baadaye jamaa akawasiliana na mrembo huyo kuwa kifurushi chake kipo tayari Kwa ajili ya kuchukua ndipo akafanya ukatili huo . Jamaa amekiri kosa

Aidha, tukio Hilo liliibua maandamano makubwa nchini humo watu wakikemea unyanyasaji wa wanawake uliokithiri nchini humo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad