NJOMBE:Mwanamke Akiri Kumchinja na Kumla Nyama Mtoto Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Christina Mlelwa (38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga, Kata ya Mavanga, Wilayani Ludewa anashikilikiwa na Polisi kwa tuhuma za kumchinja mwanae Joseph Gumbilo (4) mwenye ulemavu wa viungo na kumla nyama

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Andrea Tsere amesema alifika eneo la tukio na kumhoji Mtuhumiwa ambaye alikiri kumuua mwanae, kumkata viungo vyake na kumla huku viungo vingine kuvitupa porini na chooni

Naye, Mkuu wa Mkoa huo, Christopher Ole Sendeka alifiika katika Kijiji hicho na kuagiza kukamatwa Kijiji kizima endapo watagoma kutoa ushirikiano kwa Vyombo vya Ulinzi kuhusu matukio ya mauaji

Aidha, Mume wake, Daniel Gumbilo amesema mke wake alishawahi kufanya jaribio kama hilo miaka ya nyuma kwa mototo wao mwingine anayesoma ambapo majirani walinusuru maisha ya mtoto wao

Kamanda wa Polisi, Hamisi Issa amesema Jeshi linaendelea kuchunguza kwa kina zaidi kuhusiana na tukio hilo ili wahusika wapewe haki yao ya hukumu ya uovu wao
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad