HomeAl ShaababHuyu Hapa DADA Mtanzania Aliyepotea Jicho na Mguu Kutokana na Shambulio la Bomu la Al Shabaab Huyu Hapa DADA Mtanzania Aliyepotea Jicho na Mguu Kutokana na Shambulio la Bomu la Al Shabaab 0 Udaku Special December 28, 2019 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA Natasha, Mrembo Mtanzania ambae mpaka July alikua mzima wa viungo vyote na alikua akichapa kazi usiku/mchana lakini sasa ni habari nyingine, alikwenda Somalia kikazi Hoteli yao ikapigwa bomu na Al-Shabaab, akajeruhiwa jicho na kukatika mguu ------------------- NAFASI ZA AJIRA JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPAINTERNSHIP VACANCIESGOVERNMENT VACANCIESNGO'S VACANCIES GOODLUCK Tags Al Shaabab Newer Older